Direkt zum Inhalt

Kiswahili Stammtisch

Kiswahili Stammtisch 2

Am Samstag 14.12.2019 findet um 16:00 Uhr für Kinder und Familien und ab 19:00 Uhr für Erwachsene das nächste Treffen des Kiswahili-Stammtisches im Afrika Center, Hohenstaufenstr. 3 in 10781 Berlin statt.

Siku ya Jumamosi Tarehe 14. December 2019, mkutano kwa Chama cha Kiswahili kitafanyika katika Afrika Center, Hohenstaufenstr.3 in 10781 Berlin.

Chama cha Kiswahili kitakua njia ya kuwawezesha watu wa Afrika Mashariki na watu wengine ambao wanapenda kujua zaidi kuhusu Kiswahili na Afrika Mashariki kwa Ujumla kuweza kukutana na kubadilishana mawazo na hatimaye hata kujumuika katika matukio ya kijamii. Chama cha Kiswahili kitawapa fursa watu ambao Kiswahili siyo lugha yao ya kwanza kuweza kujifunza na kuboresha uwezo wao wa kuongea lugha hii.

Kontakt: Dr. Harrison Mwilima
hkmwilimaatyahoo [dot] com (hkmwilima[at]yahoo[dot]com)

Beginn
Ende